Home » » BREAKING NUUUUUUUZ: HALI NI TETE BAHARI YA HINDI NJE KIDOGO NA NUNGWI ZANZIBAR KUNA SEMEKANA MAWIMBI MAKUBWA YA TORNADO'S YATUA ENEO MASAA MACHACHE YALIYO PITA

BREAKING NUUUUUUUZ: HALI NI TETE BAHARI YA HINDI NJE KIDOGO NA NUNGWI ZANZIBAR KUNA SEMEKANA MAWIMBI MAKUBWA YA TORNADO'S YATUA ENEO MASAA MACHACHE YALIYO PITA


 Mawimbi yakiwa yanakuja kwa kasi ya ajabu katika Eneo La Nungwi Muda mchache ulio pita
Mawimbi yakizidi kusogea Eneo La Nungwi 

****
Taarifa za awali zinasema kwamba Mawimbi hayo makali sana yalisogea eneo la Nungwi lakini mpaka sasa hakuna Hatari yoyote imetajwa... Endelea kufuatilia 

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa