Home » » kifaa kipya cha kuzimia moto chazinduliwa zanzibar leo

kifaa kipya cha kuzimia moto chazinduliwa zanzibar leo


Kamishna Ali Abdalla Malimussa kushoto akiangalia kifaa kipya cha kuzimia moto kijulikanacho kama DSPA 5 kutoka kwa askari wa kikosi cha Zima moto na uokozi katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho Maisara mjini Zanzibar. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Your Solution Tanzania LTD Damian George kushoto akimkabidhi kifaa kipya DSPA 5 Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Gavu katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho Maisara mjini Zanzibar. 

Frans Volgelzangs ambaye ni mtaalamu wa Kampuni ya AFG inayozalisha kifaa kipya cha kuzimia moto aina ya DSPA5 akitoa maelezo jinsi ya kukitumia kifaa hicho.Picha zote na Iddi Haji-Maelezo Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa