Home » » Rais Dk. Shein akutana na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Rais Dk. Shein akutana na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za
Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo ,(kushoto) Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.  [ Picha  na Ramadhan
Othman,IKULU.]
Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais

wa Zanzibar,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa

Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed

Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji,katika

ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa