Home » » RAIS DK. SHEIN AZINDUA KIFAA CHA MTANDAO WA ZANZTEL -3G

RAIS DK. SHEIN AZINDUA KIFAA CHA MTANDAO WA ZANZTEL -3G


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la


Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa


Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin


Jarsh,wakibonyeza kitufe ikiwa ni  uzinduzi wa kifaa cha mtandao mpya


wa Zantel -3G,katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort leo.


[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Viongozi na wadau mbali mbali wa kampuni ya


Simu za Mkononi Zanztel wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha


Mtandao wa Zanzite -3G ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti


wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Zanzibar


Beash Resort leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi


Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya


Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh,baada ya


kuzindua kifaa  cha mtandao mpya wa Zanztel-3G katika ukumbi wa


Zanzibar Bech Resort leo.   
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa