Home » » Waziri wa Biashara Zanzibar Nassor Mazrui Afanya Ziara ya Hafla Madukani Kuangalia Bei ya Vyakula na Vitu Mbalimbali

Waziri wa Biashara Zanzibar Nassor Mazrui Afanya Ziara ya Hafla Madukani Kuangalia Bei ya Vyakula na Vitu Mbalimbali


  Mfanyabiashara katika maeneo ya kwahajitumbo akimuonnyesha Waziri wa
Biashara Mhe. Nassor Mazrui mzani anaotumia kupimia bidhaa dukani kwake,
wakati wa ziara ya Mhe waziri ya hafla kuangalia bei za vitu mbalimbali
madukani.

Bei ya mchele aina mbalimbali ikiwa imeweka katika moja duka katika maeneo ya Kwahajitumbo kama  zinavyosomeka.Picha na Mdau Othman Othman-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa