Home » » CCM Zanzibar Yafanya Chaguzi Ngazi za Matawi.

CCM Zanzibar Yafanya Chaguzi Ngazi za Matawi.



 

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Amani Abeid
Karume, akitowa nasaha zake kwa Wanachama wa CCM tawi la Mbweni, katika
uchanguzi wa kuwachaguwa Mwenyekiti na Katibu wa tawi hilo na Wajumbe
wake katika uchaguzi uliofanyika tawini hapo. 
  Mgombea nafasi ya Uwenyekiti wa tawi la CCM mbweni Ali Zuberi Juma,
akijieleza mbele ya wanachama wa CCM wa tawi la mbweni katika uchanguzi
wa tawi hilo uliofanyika tawini hapo.
 Mgombea nafasi ya Uwenyekiti wa tawi la CCM Mbweni, Jaffar Mussa Ali
akijieleza kwa wanachama wa tawi hilo, ili kupata ridhaa yao. 
 Mwanachama wa CCM tawi la Mbweni akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi hilo, uchaguzi huo umefanyika tawini hapo.
 Wanachama wa CCM tawi la mbweni wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais Mstaaf Dk. Amani Abeid Karume pia ni mjumbe wa tawi
hilo, akitowa nasaha zake kwa wanachama wa tawi hilo katika uchanguzi wa
kumchangua Mwenyekiti wa tawi na Katibu na Wajumbe.
  Wanachama wa CCM tawi la mbweni wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais Mstaaf Dk. Amani Abeid Karume pia ni mjumbe wa tawi
hilo, akitowa nasaha zake kwa wanachama wa tawi hilo katika uchanguzi wa
kumchangua Mwenyekiti wa tawi na Katibu

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa