Home » » ZIARA YA RAIS DK MOHAMED SHEIN KASKAZINI UNGUJA

ZIARA YA RAIS DK MOHAMED SHEIN KASKAZINI UNGUJA





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia    Wananchi wa Bwekunduni baada kuizindua barabara ya kifusi katika shehia hiyo jana alikuwa katika ziara yaa mkoa wa kaskazini Ujguja ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya kijamii katika wilaya ya kaskazini A


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati)akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe,(kulia) wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa  katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto)akipata taarifa ya utekelezaji wa kazi za  Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyosomwa na Maalim Maulid Nafasi Juma, leo katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea  taarifa ya utekelezaji wa kazi za  Mkoa wa Kaskazini Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe, leo  katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wilaya ya kaskazini B, katika  ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni, akiwa  katika ziara ya kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya

kijamii katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame, (kulia) Waziri wa Nchi Ofosi ya Rais  Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pembe Juma Pembe.



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi madasrasa mapya katika Skuli ya Matemwe Kigomani jana aliupokuwa katika ziara ya wilaya ya Kaskazini B Unguja,  Mkoa wa Kaskazini kuangalia maendeleo ya  miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa