Home » » SHEREHE ZA MEI MOSI ZANZIBAR LEO

SHEREHE ZA MEI MOSI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanayakazi wa Sekta mbali mbali za
Serikali na Sekta Binafsi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Kilele
cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MAY DAY)zilizofanyika jana katika
ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,Zahrani Mohamed
Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali
Suleiman

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati
wa Sherehe za  kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi
Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono
kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
zilizofanyika sherehe hizo  leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati
wa Sherehe za  kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi
Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono
kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
zilizofanyika sherehe hizo  le0
Picha na Mjengwa Blog

0 comments:

Post a Comment

Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa