Home » » KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame Mwadini akifahamisha jambo alipowasilisha Mpango wa Maendeleo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka 2014/2015 ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wakuu wa sekta mbalimbali pamoja na Wananchi mbalimbali wakisikiliza hotuba ya Mpango wa Maendeleo wa Serikali ya mapinduzi iliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame ndani ya Baraza la Wawalikishi Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa