Home » » MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AJUMUIKA KATIKA MAAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI BIBI FATMA MOH’D OTHMAN

MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AJUMUIKA KATIKA MAAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA TUME YA UTUMISHI SERIKALINI BIBI FATMA MOH’D OTHMAN

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


  Marehemu Bibi Fatma Moh’d Othman Mjumbe wa Bodi ya
Utumishi Serikalini ambae pia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Mkoani

Pemba aliyefariki dunia Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Kijijini
kwao Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akijumuika pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika kumsalia Bibi Fatma Moh’d Othman aliyefariki Da es salaam juzi na kuzikwa Kijijini kwao Kiwani Wilaya na Mkoani Pemba.

Balozi Seif pamoja na baadhi ya viongozi 
wakiwasili makaburini kwa ajili ya Mazishi ya Bibi Fatma Moh’d Othman 
hapo Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.

 Mwili wa Marehemu Bibi Fatma ukichukuliwa na 
 wananchi mbali mbali tayari kuupeleka makaburini mahali alipotengewa  maalum kwa kuzikwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa