Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini
Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini
Zanzibarkujitambulisha leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akifuatana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya
mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika kujitambulishaIkulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment