Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kituo cha
kufundishia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan
Garnahan wakati aliposawasili katika uzinduzi wa kituo hicho katika
kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa
Bw.Abdul Barwan Abdalla kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya
kisasa wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali za ujasiria
mali kabla ya kukifungua kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa
vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji
cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kazija Gharib
Issa akiwa ni miongozi mwa wanawake waliopata mafunzo ya kutengeza vifaa
ya kutumia umeme wa jua nchini India wakati alipotembelea maonesho ya
kazi mbali mbali za ujasiria mali kabla ya kukifungua kituo cha
kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali
mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A
Unguja leo (katikati) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana
Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa
kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na
kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya
kaskazini A Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa kituo cha
kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali
mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A
Unguja leo,(kulia) makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri
wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar
Mohamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Naibu
katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na
Watoto Nd,Ali Khamis Juma (katikati) wakati alipotembelea sehemu ya
maalum ya kulia baada ya kukifungua kituo cha kutoa mafunzo kwa Wanawake
jinsi ya utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za
ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo
(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(wa tatu kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja
wa kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua
na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya
kaskazini A Unguja Bi Fatma Juma baada ya kifungua rasmi leo.
Baadhi ya wananchi walioshiriki katika ufunguzi wa kituo
cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi
mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya
kaskazini A Unguja leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya
ufunguzi.
Mtendaji Mkuu wa kituo cha kufundishia Wanawake
utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan Garnahan wakati
alipokuwa akitoa salamu zake wakati wa ufunguzi wa kituo kiliopo wilaya
ya kaskazini A. katika kijiji cha kibokwa Mkoa wa kaskazini Unguja na
kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali akiwemo Balozi wa India
nchini Tanzania Satendar Kumar wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa
kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na
kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya
kaskazini A Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa kituo cha kuwafunzia Wanawake
utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za
ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja
leo,(kushoto) Mtendaji Mkuu wa kituo cha kufundishia Wanawake
utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan Garnahan na (kulia)
Mkurugenzi Mkaazi wa Un Women Tanzania Anna Collins [Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment