Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mtoto wa Rais Mstaafu wa awamu ya Tano Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, Amin Salmini, akimkabidhi fedha za kulipia fomu za kuwania Ubunge, Katibu Msaidizi wa CCM
Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi wakati alipofika kwenye Ofisi hizo za CCM kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar.
Katibu Msaidizi wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja, Shafi Hamadi, akimkabidhi fomu za kugombea Ubunge, Mwanachama wa CCM, Amin Salmini, bada ya kulipia.
Salmini, akisaini fomu hizo baada ya kukabidhiwa rasmi.
Salmini akionyesha fomu zake baada ya kukabidhiwa huku akiongozana na baadhi ya ndugu na jamaa.
Salmini, akisalinia na mmoja kati ya wakazi wa eneo hilo baada ya kuchukua fomu nje ya Ofisi za CCM.
Amini Salmini, akiomba dua katika makaburi ya wazee wa familia yao yaliyopo kijijini kwao Mkwajuni Kidombo mkoa wa Kaskazini Unguja.
Amin, akijumuika na wazee wa familia yake kuomba dua baada ya kurejesha fomu.
0 comments:
Post a Comment