Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali wa serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo wakiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara maalum na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment