Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
IPO haja kwa taasisi zinazohusika na masuala ya
kusimamia abiria katika bandari ya mkoani kuwa makini, wakati wa baadhi ya meli
zinazofanya safari zake kutoka Pemba kwenda Unguja, ili kunusuru upakiaji wa
abiria wengi katika meli hizo.
Pichani abiria waliokuwa hawana tiketi wakiwa
wameachwa katika bandari hiyo baada ya meli kuondoka kwenda Unguja.(Picha na Mwandishi Wetu, Pemba).
0 comments:
Post a Comment