Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM
Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya
kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi
wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam,Picha zote na Ikulu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM
Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya
kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi
wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabidhi Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal
inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika Kijiji cha
Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, kasha lililouzwa kwa shilingi za
Kitanzania Million saba katika Harambee ya kuchangia mfuko wa
maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel
Jijini Dar es Salaam jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akipokea fedha kutoka kwa Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni
ya Pennyroyal inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika
Kijiji cha Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, Dola za Kimarekani Elfu
kumi katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa
Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Bw.Said Salim Bakhresa(katikati) na Bw.Azizi
salim wakiwa ni miongoni mwa wachangiaji katika Harambee ya
kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi
wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi
wengine wakiwa katika chakula wakati wa uchangiaji wa Harambee ya
kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi
wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na
wananchi na wapenzi wa CCM waliohudhuria katika hafla ya kuchangia mfuko
wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel
Jijini Dar es Salaam jana,chini ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein.
0 comments:
Post a Comment