Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha
Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika
ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibonyeza kitufe kuzindua Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza
Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya
kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Kikundi cha ngoma kutoka Mkoa wa Kusini pemba kikitumbuiza ngoma ya Gonga wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Wananchi wa kijiji cha Kisiwa Panza na Vijiji vya Chokocho na Mkanyageni wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Umeme kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Baadhi
ya wananchi na wazee wa Kisiwa Panza wakifuatilia kwa makini harakati
za ratiba ya Uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji hicho kiliopo Mkoa
wa Kusini Pemba uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Pemba wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa Umeme
katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba
leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Waziri
wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban akizungumza
na wananchi wa kisiwa Panza ili amkaribishe Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na
Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika kijiji cha Kisiwa
Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya
kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo
Mradi wa Umeme katika kijiji cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani. Mkoa wa Kusini Pemba, ulipozinduliwa leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wananchi katika uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika kijiji
cha Kisiwa Panza Wilaya ya Mkoani ,Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa
katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment