Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein,
akiwahutubia Wananchi wa Micheweni Pemba akiwa katika mikutano yake ya
Kampeni kisiwani humo mkutano huu ukiwa ni wa nne katika kuomba kura
kuiongoza Zanzibar, Akisoma Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 jinsi
ya kuleta maendeleo kwa Wananchi wa Zanzibar katika Sekta mbali mbali za
Kijamii.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo
la Micheweni Pemba Ndg Shamata Khamis.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo
la Wingwi Pemba Ndg Said Omar Said,.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo
la Konde Pemba Ndg Omar Seif Abeid.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo
la Tumbe Pemba Ndg. Ali Khamis. Bakar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la
Micheweni Pemba Ndg Khamis. Juma Bakar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la
Wingwi Pemba Ndg Khamis. Shaame
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la
Konde Pemba Ndg Ramadhani Omar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM katika Jimbo la
Tumbe Pemba Ndg Rashid Kassim Abdalla.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein,
akiwatambulisha Wagombea Udiwanbi katika Wilaya ya Micheweni Pemba
kupitia Chama cha Mapinduzi, wakati wa mkutano wake wa kampeni
uliofanyika katika viwanja vya micheweni Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Shein, akizungumza na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai wakiwa katika viwanja vya
mkutano wa kampeni katika viwanja vya Jimbo la micheweni Pemba.
Mgombea Urais Zanzibar Dk Shein, akiwa na Viongozi wa CCM kulia Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai na kushoto Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia mkutano huo wakati Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud akihutubiwa katika mkutano huo
wa kampeni viwanja vya micheweni Pemba.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar wakati wa
mkutano wake wa Kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya
Micheweni Pemba.
Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakifuatilia hutuba ya Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya micheweni
Pemba akiwa katika mkutano wake wa kampeni kisiwani humo kuomba kura kwa
mara ya pili kuongoza Zanzibar kwa Maendeleo ya Wananchi wake kuwapatia
maendeleo katika Sekta mbalimbali za Jamii.
Taswira wa Uwanja wa mkutano micheweni Pemba ilivyokuwa kwa Wanachama wa CCM wakimsikiliza Mgombea wa Urais
Wananchi wa Wilaya ya Micheweni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, wakati wa mkutano huo uliofanyika
katika viwanja hivyo.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Micheweni Kisiwani Pemba.
Mhe Ramadhani Abdalla Shabani akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba
wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar na kuwaambia
msemaji wa uchimbaji wa mafuta Zanzibarb ni yeye hakuna mtu mwingine na
suala hilo liko tayari kinachosubiriwa ni kupitisha sheria hiyo kuaza
kazi ya uchimbaji wa mafuta Zanzibar.
Wanachama wa CCM Pemba wakishangilia Sera za CCM wakati wa Mkutano
huo wa kampeni ya Urais wa Zanzibar katika viwanja vya Micheweni Pemba.
0 comments:
Post a Comment