Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uwanja vya Mpira
Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj
iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Septemba 24,
2015.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uwanja vya Mpira
Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj
iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi mbali mbali na Waislamu
katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika
Swala ya Eid El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji
cha Nungwi.
Viongozi
mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Swala ya Eid El Hajj katika
Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A, iliyoswaliwa kitaifa
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata
Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi.
Akina
mama wa Kijiji cha Mkokotoni na Vijiji Jirani walijumuika katika Swala
ya Eid El Hajj katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,
iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa
na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi.
Akina
mama wakiwa katika kiwanja cha mpira Kijiji cha Mkokotoni wakisikiliza
Hotuba ya Swala ya Eid El Hajj iliyotolewa na Sheikh Mmadi Shamata
Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,baada ya kumalizika kwa ibada ya
swala iliyoswaliwa leo kijijini hapo ikiwa ni kawaida ya swala za Eid
El Haji kuswaliwa katika Wilaya mbali mbali za Unguja na Pemba.
Sheikh
Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,akitoa Khutba ya
swala ya Eid El Hajj mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na
Viongozi mbali mbali waliojumuka katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni
Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Ibada hiyo.
Wananchi
na waumini wa Dini ya Kiislamu wakisikiliza Khutba iliyotolewa leo na
Sheikh Mmadi Shamata baada ya kuwaswalisha katika Swalaya Eid El Hajj
iliyofanyika katika uwanja wa mpira Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A Mkoa
wa kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na baadhi ya Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya
Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo katika Uwanja wa mpira wa Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A
Mkoa wa kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na baadhi ya Mashekhe wa Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa
kaskazini Unguja na Viongozi baada ya swala ya Eid El Hajj mazungumzo
hayo yalifanyika leo katika ukumbi Ikulu ya Mkokotoni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akifanya mahojiano na Watoto Nabiel Mohammed (mwenye maiki) na
Ahmed Mohammed wa kipindhi cha watoto katika (ZBC) Shirika la Utangazaji
Zanzibar katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj,mahijiano
yalifanyika leo katika Ikulu ya Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A Mkoa wa
Kaskakazini Unguja,
[Picha zote na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment