Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii
Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili
katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,
kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El
Hajj.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha akizungumza na Wazee wa Welezo wakati alipofika katika makaazi
yao kuwajulia hali na kutoa mono wa Eid El Hajj kwa Wazee hao kwa Niaba na
Mama Mwanamwema Shein.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Welezo Zanzibar
wakimsikiliza Mama Asha wakati alipofika katika makaazi ya Wazee Welezo
kuwatembelea na kutoa Mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee hao.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Welezo Zanzibar
wakimsikiliza Mama Asha wakati alipofika katika makaazi ya Wazee Welezo
kuwatembelea na kutoa Mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee hao
Kwa Niaba ya Wazee wanaoishi Makaazi ya
Wazee Welezo Mzee Shein Kombo akitowa shukrani kwa niaba ya wazee wezake
kwa Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein, kwa kuwajali na kuwatembelea mara kwa mara anapopata
nafasi kuja kuwajuliana hali na kujua shida zao,
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi Seif, akitowa mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee wa Welezo kwa
Niaba ya Mama Mwanamwema Shein,
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi Seif, akimjulia hali na kumpa mkono wa Eid El Hajj Mzee
Chui anayeishi katika makaazi ya Wazee Welezo Zanzibar
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi Seif, akimjulia hali Bi Riziki anayeishi katika Nyumba za
Makaazi ya Wazee Welezo wakati alipowatembelea na kutoa mkono wa Eid kwa
wazee hao kwa niaba na Mama Mwanamwema Shein.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi Seif akizungumza na Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni
Zanzibar, alipofika kuwatembelea na kutoa mkono wa Eid El Hajj kwa niaba ya
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni Zanzibar
wakimsikiliza Mama Asha Balozi wakati alipowatembelea na kutoa mkono wa Eid
El Hajj.

Mzee Omar akisoma Dua wakati wa hafla
hiyo
Wazee wakiitikia dua.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mama Asha Balozi akitowa mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee wa Nyumba Sebleni
Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii Ndg
Asha Abdalla akitowa mkono wa Eid kwa Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni
Zanzibar kwa niaba ya Mama Mwanamwema Shein.
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
zanzinews.com.
0 comments:
Post a Comment