Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika
viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na
Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya kuhudhuria
Baraza la Eid El Hajj, kitaifa zimefanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akiwasili na
katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akisalimiana na Waziri wa
Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya
kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj, kitaifa zimefanyika Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Rais
Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume,akiwasili katika viwanja vya
Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na Katiba
Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya kuhudhuria Baraza la
Eid El Hajj, kitaifa zimefanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akiwasili kwa msafara wa mapikipiki ya Polisi wa Usalama Barabara
kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj zilizofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha
Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja,

akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Juma Kassim Tindwa ,
tayari kwa huhudhuria hafla ya Baraza la Eid El Hajj zilizofanyika
Kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ukumbi wa Chuo cha Amali
Mkokotoni Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akiwasili viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akiongozana na Kamishna
wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdani tayari kwa kupokea salamu za Bwaride
lililoandaliwa kwa ajili yake na Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU, katika
viwanja hivyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akipokea saluti maalum ilioandaliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU
kwa ajili ya Baraza la Eid El Hajj.lililofanyika katika viwanja vya Chuo
cha Amali Mkokotoni Unguja.
Kikosi
cha FFU kikitowa heshima ya Bwaride Maalum lililoandaliwa kwa Ajili ya
Baraza la Eid El Hajj kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Chuo cha Amali
Mkokotoni Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akielekea Ukumbi wa Baraza la Eid El Hajj baada ya kupokea Saluti ya
Bwaride Rasmin la Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU.
Viongozi
wa meza Kuu wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Viongozi wengine wakimsikiliza msoma
Quran wakati wa ufunguzi wa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika kitaifa
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, kutoka kushoto Naibu Musti wa Zanzibar
Shekh. Mussa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff
Hamad na kulia Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Abubakar Khamis Bakar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mastaaf wa
Zanzibar Dk Amani Abeid Karume na Mama Fatma Karume.
Msoma
Quran Ust Juma Said akisoma Quran wakati wa ufunguzi wa Baraza la Eid
El Hajj lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni
Zanzibar.
Ust.
Machano Faki akisoma Tafsiri ya Quran wakati wa hafla ya Baraza la Edi
El Hajj lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Zanzibar Mkoa wa
Kaskazini Unguja.
Waziri
wa Sheria Katiba Zanzibar Mhe. Abubakar Khamis Bakar akitowa maelezo na
kukaribisha Mgeni Rasmin, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi kuhutubia Wananchi katika Hafla ya Baraza la Eid lililofanyika
Kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akihutubia Wananchi katika Baraza la Eid El Hajj katika ukumbi wa Chuo
cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar wakati wa hafla ya Baraza la Eid El Hajj.
Viongozi
wa Serikali na Wananchi wakihudhuria Baraza la Eid El Hajj wakifuatilia
Hutuba ya Baraza la Eid iliyokuwa ikisomwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
Wananchi
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid
ikisomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, Baraza la Eid El Hajj Kitaifa limefanyika katika Mkoa wa

Wafanyakazi
wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) wakiwa kazini kurusha matangazo
wakati wa hafla ya Baraza la Eid El Hajj lililofanyika katika Ukumbi wa
Chuo cha Amali Mkokotoni Zanzibar.
Naibu
Mufti wa Zanzibar Shekh. Mussa, akisoma dua baada ya kumalizika kwa
hutuba ya Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Viongozi wa Serikali wakiitikia dua.
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia Dua.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Balozi Ali Karume nje ya Ukumbi wa Baraza baada ya
kumalizika kwa hafla hiyo wakipata viburudisho vilivyoandaliwa kwa ajili
ya Baraza la Eid El Hajj.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Viongozi wa Serikali kutoka kushoto Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Maalif Seif Shariff Hamad, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaff wa Zanzibar Dk Amani Abeid
Karume.
Viongozi
na Wananchi wakipata dhifa ilioandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid El
Hajj kwa Wananchi katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni Zanzibar.
Wananchi
wakipata vitafunio baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj
kumalizika kwa hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,

Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.
iMETAYARISHWA NA OTHMANMAPARA.BLOGSPOT. ZANZINEWS.COM
0 comments:
Post a Comment