Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim
Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati aliporejesha fomu za
kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo
Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim
Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati aliporejesha fomu za
kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo
Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi walioshuhudia Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein ,akirejesha fomu za kugombea Urais
wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha
Salim Jecha katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa CCM alipofika kurejesha
fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya
Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Wananchi
waliofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja baada ya
kurejesha fomu za kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume
ya Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo.

Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha (aliyesimama)
akimshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuweza
kukamilisha taratibu zote za ujazaji wa Fomu za kugombea Urais wa
Zanzibar wakati aliporejesha fomu hizo leo katika Ofisi ya Tume ya
Uchaguzi iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja,(kulia) Mkurugenzi wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (NEC) Ng,Salim Kassim Ali,wakiwepo na wajumbe
wa Tume hiyo (kushoto).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai baada ya kurejesha fomu za
kugombea Urais wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
(ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi iliyopo
Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment