Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija
(kushoto) wakati alipowasili katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi
msingi wilaya ya Kati Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea karatasi ya kupigia kura kutoka kwa Afisa Sibira Ramadhan Iddi
katika kituo cha kupiga kura Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein
akitumbukiza kura yake sandukuni katika kituo cha kupigia kura cha Skuli
ya Bungi msingi wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitumbukiza kura katika kituo cha kupigia kura cha Skuli ya Bungi msingi wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein
akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kipiga kura leo
katika kituo cha Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini
Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija(kushoto)baada ya kupiga kura katika kituo cha kupiga
kura Skuli ya Bungi wilaya ya Kati Unguja zoezi ambalo limefanyika
leo,(kulia)Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla
Ali. Picha na Ikulu, ZNZ.
0 comments:
Post a Comment