Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihakikiwa kabla ya kutimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa
ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani kwenye kituo cha
kupigia kura namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki
Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25,
2015 Nchini kote. (Picha na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais,
Mbunge, Mwakilishi, na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura namba 7
katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu
wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR)
0 comments:
Post a Comment