Home » » SIMBA YATAKATA UWANJA WA AMAAN KATIKA MICHUANO YA KUWANIA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

SIMBA YATAKATA UWANJA WA AMAAN KATIKA MICHUANO YA KUWANIA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Waamuzi wa mchezo wa Simba na URA uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa Timu ya URA wakisalimiana na Wachezaji wa Timu Simba kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kuwania Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Simba imeshinda mchezo huo bao 1-0.

Kikosi cha Timu ya URA kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi kilichokubali kipigo cha Bao 1-0 dhidi ya Timu ya Simba.
Kikosi cha Timu ya Simba kilichotowa kipigo kwa Timu ya URA ya Uganda wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan. Timu ya Simba imeshinda 1-0
Mshambuliaji swa Timu ya Simba akikokota mpira huku mchezaji wa Timu ya URA akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao lao la kwanza na la ushindi dhiti ya Timu ya URA mchezo uliofanyika usiku Uwanja wa Amaan Zanzibar.
                    Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia bao lao kwa staili yao.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi.
                                  Mchezaji wa Timu ya Simba akimpita beki wa Timu ya URA.
Viongozi wa Timu ya Simba wakifuatilia mchezo wao dhidi ya Timu ya URA ya Uganda. wakiwa jukwaa kuu uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya URA na Simba wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Beki wa Timu ya URA akiondoa mpira golini kwake huku mshambuliaji wa Timu ya Simba akiwa jirani kumnyanganya mpira huo.
Mchezaji wa Timu ya Simba akimpita beki wa Timu ya URA wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Simba imeshinda bao 1-0









0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa