Home » » RAIS SHEIN AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

RAIS SHEIN AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar  ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kutoka Mikarafuuni hadi Mpika Tango leo iliyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani leo inayojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 Mkandarasi wa Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea miradi ya ujenzi wa Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni na mitaro ya maji ya mvua kutoka Mikarafuuni  hadi Mpika Tango leo ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi
wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid
 [Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa Mkoani Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya kutembelea maendeleo ya miradi wa ujenzi wa Vidaraja (Steps)na mitaro ya maji ya mvua iliojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa maeneo ya Chachani- Minanzini Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya kutembelea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Vidaraja (Steps) uliojengwa na Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD  ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mwanajuma Majid(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed(wa pili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Joseph Meza wakielekea kutembelea Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake inayofanyia matengenezo Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD  ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi  wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD Elimeka Shumu (kushoto) inayofanyia matengenezo  Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake   wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi huo leo  Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa ushauri  kwa Mkandarasi  wa  Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD inayojenga Machinjio ya Ngo’mbe Elimeka Shumu(wa tatu kulia) wakati alipotembelea machinjio hayo leo Wesha Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed,[Picha na Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa