Home
skip to main
|
skip to sidebar
Home
» » Uchaguzi wa Mbunge wa jimbo la Kijitoupele,Zanzibar kufanyika Machi 20
Uchaguzi wa Mbunge wa jimbo la Kijitoupele,Zanzibar kufanyika Machi 20
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Jaji Lubuva
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Kijitoupele – Zanzibar utafanyika mnamo tarehe 20 Machi, 2016.
Uchaguzi wa Mbunge katika Jimbo la Kijitoupele – Zanzibar ni mojawapo ya Majimbo yaliyoahirisha kufanya Uchaguzi tarehe 25 Oktoba, 2015 kutokana na hitilafu kwenye Karatasi za Kura.
Aidha, Tume inapenda kuwataarifu Wananchi kuwa Watendaji (Msimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi) walioteuliwa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa 2015 ndio watakaosimamia na kufanya shughuli za Uchaguzi huo. Uchaguzi huo wa Ubunge katika Jimbo la Kijitoupele hautakuwa na kampeni na Wagombea walioteuliwa kushiriki Uchaguzi ulioahirishwa mwezi Oktoba, 2015 ndio watakaoshiriki Uchaguzi huu.
Vituo vilivyotumika katika Uchaguzi wa mwaka 2015 ndiyo vitakavyotumika. Vituo vitafunguliwa saa 1.00 asubuhi na kufungwa saa 10.00 jioni. Watakaoruhusiwa Kupiga Kura tarehe 20/3/2016 ni wale ambao wameandikishwa na majina yao yapo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura la Kituo na waje na Kadi ya Mpiga Kura.
Imetolewa na,
Jaji (Mst.) Damian Z. Lubuva
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MWENYEKITI
26/01/2016
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Web Toolbar by Wibiya
Please Share this Blog
Listen to Tone Radio-Tz
Tembelea Website yetu
www.toneradiotz.com
Powered by
Blogger
.
Popular Posts
UVCCM wamwandama Maalim
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis amesema baadhi ya viongozi ndani ya Serikali ya Umoja w...
NSSF YAIPONGEZA ZANZIBAR HEROES KWA USHINDI WA KOMBE LA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, amepokea kiasi cha shilingi milioni 10 kutoka Mfuko wa Taif...
CUF, CCM Zanzibar washikana uchawi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. ...
ZANZIBAR ISAIDIWE KUBORESHA HUDUMA ZA KIFEDHA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Zanzibar ndiy...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kutajenga hospitali ya Mkoa maeneo
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itajenga hospitali kubwa ya Mkoa maeneo ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja...
RAIS MWINYI:SERIKALI INAJIPANGA UJENZI WA MAGHALA YA CHAKULA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali inajipanga kwa Ujenzi wa Maghala ya Kuhif...
HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa...
Maalim Seif: Jeshi la Polisi halitendi haki.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim ...
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEUFUNGUA MKUTANO WA WAZALISHAJI WA SUKARI WA NCHI ZA SADC UKUMBI WA HOTELI YA GOLDEN TULIP UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wazalishaji wa Sukari k...
RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WANANCHI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 48 YA MUUNGANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati akiingia Uwanja wa Uhuru jijini Da...
Blog Archive
Blog Archive
January (3)
September (2)
July (8)
April (1)
March (1)
February (1)
January (6)
December (2)
November (8)
October (4)
September (13)
August (61)
July (21)
June (2)
May (10)
April (4)
March (6)
February (6)
January (12)
December (22)
November (10)
October (13)
September (18)
August (7)
July (4)
June (24)
May (13)
April (11)
March (19)
February (28)
January (35)
December (8)
November (4)
October (17)
September (12)
August (17)
July (6)
June (16)
May (12)
April (6)
March (4)
February (8)
January (19)
December (19)
November (14)
October (17)
September (5)
August (18)
July (17)
June (23)
May (24)
April (27)
March (25)
February (40)
January (65)
December (32)
November (42)
October (11)
September (20)
August (10)
July (13)
June (9)
May (10)
April (5)
March (8)
February (11)
January (27)
December (27)
November (28)
October (52)
September (57)
August (43)
July (37)
June (23)
May (29)
April (42)
March (25)
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012.
Zanzibar Yetu
- All Rights Reserved
Designed by by
Blogs za Miikoa
Proudly powered by
Blogs za Mikoa
0 comments:
Post a Comment