Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakati wa kikao cha
Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya
kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud akisoma kazi
za Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya
kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,
chini ya Mwenyekiti weke Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ ACP
Sida Muhamed Himid na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss
Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
Baadhi
ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakiwa
katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]
24/10 /2016.
Mshauri
wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Mhe,Balozi
Mohamed Ramia Abdiwawa,akiuliza suala wakati wa kikao cha Mpango kazi wa
mwaka 2016-2017 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika utekelezaji wa
robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu
Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti weke Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) Makamo wa Pili wa
Rais Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd, Radhiya
Rashid [Picha na Ikulu] 31/10/2016.
Viongozi
wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakiwa katika
mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 uliofanyika
leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
Mkuu
wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Mhe,Mwinyiussi Abdalla Hassan
(kushoto) akisisitiza jambo wakati akiwa na Wakuu wa Wilaya nyengine
katika mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017
katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
0 comments:
Post a Comment