Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar,
Balozi Amina Salim Ali akiangalia maguni 14 ya karafuu zilizokamatwa wakati
zikitaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo Katika eneo la Ndooni Mtambwe Wilaya
ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU
wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashidi, akitoa ufafanuzi kwa waziri wa
biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, juu hatua
zilizopo za kudhibiti magendo ya Karafuu kwa Wilaya yake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAZIRI wa Biashara viwanda na Masoko Zanzibar Balozi
Amina Salim Ali, akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini
Pemba, juu ya mikakati ya serikali kukabiliana na magendo ya karafuu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MASHUA
inayojulikana kw ajina la Halipo yenye namba za usajili z 1476,
iliyokamatwa ikisafirisha 14 za karafuu kwa njia ya Magendo, ikiwa chini
ya ujizi wa Polisi katika bandari ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MASHUA
inayojulikana kw ajina la Halipo yenye namba za usajili z 1476, iliyokamatwa
ikisafirisha 14 za karafuu kwa njia ya Magendo, ikiwa chini ya ujizi wa Polisi
katika bandari ya Wete.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
MKUU wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashid,
akimuonyesha Vitambulisho na Picha zilizokutwa ndani ya mashua iliyokamatwa
ikisafirisha gunia 14 za karafuu kwa njia ya magendo, Waziri wa Biashara
Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
0 comments:
Post a Comment