Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) mara alipokuwa katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la
Kiswahili na Uongozi wa Baraza la Kiswahili,ambacho kimejadili mambo
mbali mbali ya kiutendaji, [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza na
Bodi hiyo, Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
na Uongozi wa Baraza la Kiswahili katika kikao cha siku moja
kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]
07/08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo , Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Baraza la Kiswahili Zanzibar na Uongozi wa Baraza la
Kiswahili katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 07/08/2017.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Baraza la Kiswahili Zanzibar Mhe.Mohamed Seif Khatib (kulia) akiwa
na Dr.Maulid Omar Haji wakati alipokuwa akitoa taarifa ta Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili, chini ya Mwenyekiti wa kikao hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili Zanzibar
Nd,Mwanahija Ali Haji (wa tatu kulia) alipokuwa akitoa maelezo wakati
wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo na Uongozi wa Baraza la Kiswahili chini ya Mwenyekiti wa kikao
hocho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
0 comments:
Post a Comment