Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na
Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi
katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji,

Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya
Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha
siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho
kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji,(kuchoto) Makamu wa Pili wa
Rais Balozi Seif Ali Iddi,
0 comments:
Post a Comment