Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Leopold Zekeng, wakati
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Leopold Zekeng, wakati
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment