Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini na Uongozi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanziba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Bodi hiyo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (Picha na Ikulu).
0 comments:
Post a Comment