Home » » MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA WIKI TATU NCHI ZA ISRAEL,CUBA NA UAE

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA WIKI TATU NCHI ZA ISRAEL,CUBA NA UAE



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara ya wiki Tatu za nchi za Israil,Cuba na UAE.
Makamu wa PIli wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali IDI akisalimiana na Mtoto wake Mdogo mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa