Home » » RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA IDARA MAALUM

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA IDARA MAALUM



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha  na Ramadhan Othman,IKULU


Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini  Zanzibar.    

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa