Home » » Dkt. Shein aelekea Nchini China kwa Ziara ya Kikazi

Dkt. Shein aelekea Nchini China kwa Ziara ya Kikazi


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Ziara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mpya China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,akiagana na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa