Home » » Dkt Shein azungumza na wanafunzi wa skuli ya Fidel Castro, Pemba

Dkt Shein azungumza na wanafunzi wa skuli ya Fidel Castro, Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya Fidel Kastro Pemba leo jioni, Rais alichukua hatua hiyo kusikiliza changamoto mbali mbali zinazoikabili skuli pamoja na wanafunzi wanaosoma katika Skulini hapo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa