Home » » NDEGE NDOGO YA COASTAL ILIVYONUSURIKA BAADA YA KUPASUKA TAIRI ZANZIBAR JANA

NDEGE NDOGO YA COASTAL ILIVYONUSURIKA BAADA YA KUPASUKA TAIRI ZANZIBAR JANA


 Ndege ndogo ya Coastal, ikiwa imeegeshwa pembeni mwa uwanja wa Ndege wa Zanzibar jana majira ya saa tano asubuhi iliponusurika kuingia porini baada yakupasuka tairi la kushoto wakati ikitua uwanjani hapo, na kuzua hofu kwa abiria waliokuwa ndani ya ndege hiyo, ambayo haikuweza kufahamika mara moja ilikuwa ikitua kutokea wapi. Katika ajali hiyo abiria wote walitoka salama na kuondolewa eneo hilo na gari la kubebea wagonjwa. 
 Gari la zimamoto likiwa pembeni ya ndege hiyo kujiandaa na dharula ambayo ingeweza kutokea uwanjani hapo...
 Gari la wagonjwa likiondoka na abiria waliokuwamo katika ndege hiyo.
Mafundi wakijitahidi kurekebisha hitilafu hiyo.
 
PICHA NA SUFIAN MAFOTO BLOG
 
 
 

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa