Home » » RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia ngoma ya kibati iliokuwa ikichezw na wanakikundi wa Amani Mkoa waliofika Uwanja wa Ndege Kumpokea akitokea nchini China kwa Ziara ya kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akizungumza na Waandishi wa Habari hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini china kwa ziara ya Kiserikali. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa