Home » » BALOZI MDOGO WA OMAN NCHINI TANZANIA AJITAMBULISHA

BALOZI MDOGO WA OMAN NCHINI TANZANIA AJITAMBULISHA


IMG_2883Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. IMG_2893Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza  na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. IMG_2901 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa