Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold, akielezea kufurahishwa kwake na juhudi zinazochukuliwa juu ya kutokomeza Malaria Zanzibar (kulia) Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya, Afisa wa RTI kanda ya Afrika Mashariki Volkan Cakir kabla yakukabidhi pikipiki 10, huko katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Baadhi ya maafisa mbalimbali wa Wizara ya Afya wakimskiliza Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold (hayupo pichani) katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) anayefanyia kazi nchini Tanzania Andrew Rebold akimkabizi helmet na pikipiki Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya kwa ajili ya Afisa Wilaya wafuatiliaji wagonjwa wa Malaria, katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya akimkabizi funguo ya pikipiki mmoja wa Afisa Wilaya wa ufuatiliaji wagonjwa wa Malaria, huko katika uwanja wa Wizara ya Afya nje Mjini Zanziba
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).
(Picha zote na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment