Magari
ya Baraza laManispa Zanzibar yakiwa katika viwanja vya Ofisi hizo
darajani wakisubiri kukamilika kwa taratibu za kuaza kutumika kwa ajili
ya kuuweka Mji wa Zanzibar katika mazingira ya Usafi, Magari haya
yatakuwa changamoto kwa kuweka usafi na kupunguza mrundikano wa mataka
katika sehemu mbalimbali za Unguja.Magari haya yatumike kwa uangalifu na
kuweza kutumika kama yalivyokusudiwa na kupatikwa kwa matengenezo kwa
wakati ili kuweza kudumu kwa muda mrufu ili kuweza kutowa huduma ya
usafi.
Home »
» ANISPA YA PATA MAGARI YA KUBEBEA UCHAFU UNGUJA
0 comments:
Post a Comment