Home » » ILIVYOKUWA KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.

ILIVYOKUWA KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LEO.


Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Ali Salum Haji kushoto akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Mkanyageni Haji Faki Shaali ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mnadhimu wa CUF Jimbo la Chonga Abdalla Juma Abdalla kulia akibadilishana mawazo na Wawakilishi nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.kushoto mwenye simu ni Mwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame. PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa