Home » » Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa