Home » » KMKM WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU ZANZIBAR

KMKM WAKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU ZANZIBAR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Meneja masoko wa kinywaji cha Grandmalt Fimbo Buttala akikabidhi kombe la Ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar kwa Viongozi na wachezaji wa timu ya KMKM kulia kwake ni mwenyekiti wa bararaza la michezo Zanzibar Ndugu Hamis Said, na wengine ni Rais wa ZFA Radhia Saina na makamu wa rais ZFA Pemba Ally Mohamed. Mchezo huo ulifanyika katika kiwanja cha Amani Mjini Unguja
Baadhi ya viongozi na wachezaji wa  timu ya Km Km wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mjini Zanzibar kwa kuwa mabingwa wa Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa