Mamlaka
ya mapato nchini TRA imesema asilimia kumi tu ya ushuru wa forodha
inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa bara toka Zanzibar na si kwamba
zinatozwa kodi upya kama inavyoelezwa na baadhi ya wasafiri na
wafanyabiashara.
Chanzo:ITV Tanzania
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment