Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.
Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati.
Mkuu
wa usalama wa chakula Bodi ya chakula, dawa na vipodozi Zanzibar Nadir
Khatib Hassan akitoa ufafanuzi wa bidhaa hizo kwa wandishi wa habari
huko Kibele zilipo angamizwa.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment