Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Jengo la Afisi ya Baraza la Manisppa Zanzibar likiwa katika hali
nzuri baada ya kufasnyiwa ukarabati mkubwa wa jengo hilo lilioko katika
Mji Mkongwe wa Zanzibar na tayari limeaza kutowa huduma zake baada ya
ujenzi wake kama linavyoonekana pichani leo asubuhi likiwa katika
harakati hizo.
0 comments:
Post a Comment