Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Wizara ya
Afya Mathna Kassim Marine (kushoto) baada ya kuweka jiwe la msingi
Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja (ORIO) leo ikiwa ni katika shamra
shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkandarasi
wa ujenzi kampuni ya Rans Ali Nassor Salim.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazoakama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa Ushauri kwa Uongozi wa Hospitali wa Wizara ya Afya wakati
alipokuwa akitembelea hatua ya ujenzi Wodi ya Watoto na upanuzi wa
Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kuweka jiwe la msingi miradi hiyo
miwili leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) ni Mkandarasi wa ujenzi kampuni ya Rans
Ali Nassor Salim.
Baadhi
ya wanafunzi wa Vyuo mbali mbali vya Afya wakiwa katika sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya
Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi
ya madaktari na Maafisa wa Hospitaliya mnazi mmoja wakiwa katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa
Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Viongozi
na wegeni mbali mbali walioalikwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe
la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo
ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoahutuba yake ya uwekaji wa
jiwela msingi mradi huo.
Balozi
wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipokuwa akitoa salamu
zake mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi
ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika
shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Naibu
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa nasaha
zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja
katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa
Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya
mnazi mmoja katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto
na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra
shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Naibu Waziri wa
Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap
Frederiks.[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment