Afisa
Habari Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Ramadhani Ali
akiwakaribisha viongozi wakuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar kuzungumza
na waandishi wa Habari kupinga kuhusika na barua ya Maalim Seif Sharif
Hamad aliyompelekea Papa Fransis, wakwanza (kulia) ni Makamo Mwenyekiti
wa Umoja huo Askofu Michael Hafidh na (kati) ni Katibu Mkuu Askofu
Dickson Kaganga.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Dikson Kaganga akizungumza na
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Wizara ya Habari,
Utamaduni Utalii na Michezo kukanusha kuhusika kwao na barua ya Maalim
Seif Sharif Hamad aliyomuandikia Papa Fransis.
Waandishi
wa Habari wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar
Askofu Dickson Kaganga katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Wizara ya
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mnazimmoja.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Agostino Shao akijibu maswali ya
waandishi wa Habari kwenye mkutano wa kupinga kuhusika kwao na Barua
ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyompelekea Papa Fransis. (kushoto) ni
Askofu Shayo na (kulia) ni Askofu Dickson Kaganga.PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment